Polo ya pamba · Mkatoliki
Krimu
Krimu (beige) laini yenye nembo ya bluu iliyofumwa — rangi tulivu kwa kila siku.
Tsh 20,000
Size zilizopo: S · M · L · XL · XXL · XXXL
Washirikishe wengine 🙏
Share kwenye Status, vikundi vya WhatsApp au Facebook. Link itaonyesha picha ya polo hii, na wakibofya watafika hapa moja kwa moja.
- Kitambaa
- Pamba (cotton) — laini, inapitisha hewa, inafaa joto la Tanzania
- Ufumaji
- Pique — kitambaa chenye vitundu vidogo kama cha polo za michezo
- Mtindo
- Polo yenye kola ya kukunja na mikono mifupi
- Vifungo
- Vifungo 2–3 kifuani (placket)
- Nembo
- Nembo ya Mkatoliki iliyofumwa (embroidery) kifuani — haifutiki ikifuliwa



