T-shirt_MkatolikiAgiza Sasa
Polo ya Mkatoliki Nyeupe
Polo NyeusiPolo NyeupePolo Krimu

Polo ya pamba · Mkatoliki

Nyeupe

Nyeupe safi yenye nembo ya bluu iliyofumwa — angavu na yenye kuvutia.

Tsh 20,000

Size zilizopo: S · M · L · XL · XXL · XXXL

Washirikishe wengine 🙏

Share kwenye Status, vikundi vya WhatsApp au Facebook. Link itaonyesha picha ya polo hii, na wakibofya watafika hapa moja kwa moja.

WhatsAppPakua picha
Kitambaa
Pamba (cotton) — laini, inapitisha hewa, inafaa joto la Tanzania
Ufumaji
Pique — kitambaa chenye vitundu vidogo kama cha polo za michezo
Mtindo
Polo yenye kola ya kukunja na mikono mifupi
Vifungo
Vifungo 2–3 kifuani (placket)
Nembo
Nembo ya Mkatoliki iliyofumwa (embroidery) kifuani — haifutiki ikifuliwa